Ziwa Baringo, nchini Kenya, ni moja ya maziwa makubwa ya maji baridi nchini. Kutoka kwenye barabara kuu katika mji mdogo wa Marigat, jua zuri linaangaza miale yake juu ya maji linapochomoza ...
28.11.2024 28 Novemba 2024 Kaunti ya Baringo nchini Kenya imepata nafasi ya wazima moto wake kupigwa msasa wa mafunzo na wakufunzi wa Kijerumani. Wanafundishwa mbinu na jinsi ya kutumia zana na ...