Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amechaguliwa kwa muhula wa pili baada ya ushindi wa 52.6% ya kura zilizopigwa katika uchaguzi mkuu, kwa mujibu wa tume ya uchaguzi. Hatahivyo upinzani umedai ...
Raia wa Zimbabwe wamekusanyika kwa wingi kwenye uwanja wa michezo mjini katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare kwa ajili ya sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa nchi hiyo Emmerson Mnangagwa.
Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamezitaka pande zote zinazohusika katika mgogoro unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ...
当前正在显示可能无法访问的结果。
隐藏无法访问的结果