Rais wa zamani wa Misri, Mohamed Morsi amezikwa saa chache baada ya kufariki dunia akiwa mahakamani siku ya Jumatatu. Wakili wake ameliambia shirika la habari la Ufaransa, AFP kiongozi huyo wa ...
Mohammed Morsi alikua rais wa kwanza wa Misri aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia lakini alisalia madarakani kwa mwaka mmoja kabla ya kutumuliwa kupitia mapinduzi ya kijeshi tarehe 3 mwezi ...