"Bado kuna mengi katik akapu langu lakini kikubwa zaidi ni kukimbia mbio kuu zote sita za marathon na kushinda zote - hiyo ni changamoto yangu inayofuata." Kipchoge tayari ameshinda mataji katika ...
Mshindi mara mbili wa mbio za marathon katika mashindano ya Olimpiki Eliud Kipchoge anasema alihofia maisha ya familia yake wakati wa kampeni ya unyanyasaji mtandaoni dhidi yake ambayo ilimhusisha ...