Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametembelea na kufanya mazungumzo na Benki ya Exim ya Korea ambayo ilitoa fedha za utekelezaji wa miradi ya majitaka nchini Tanzania yenye ...
Kwa vile walikaa karibu baadhi ya maongezi yao yalinifikia moja kwa moja. Nilijitahidi nisisikie, ili kulinda utulivu wangu, lakini walikuwa wakiongea kwa sauti za juu na baadhi ya maongezi yao ...