WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amebainisha kuwa tayari timu yake imeshakamilisha rasimu ya kwanza ya hatua za mchakato wa maandalizi ya Dira ya Taifa ya ...
"Nilikuwa na matarajio makubwa sana. Nilidhani ningeanza maisha yangu kwa kasi ya juu kwa sababu nilitarajia ningeenda huko na kuanza kazi mara moja," anasema. Henry ni afisa wa zamani wa ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma Kampuni ya Lake Gas Limited kwa ajili ya kutekeleza mradi wa shilingi milioni 406.7 wa kusambaza majiko ya gesi 19,530 (LPG) ya kilo ...
Moja haswa imevutia hisia za wengi: mwanamke akikabiliana na wanajeshi waliotumwa kuwazuia wabunge kuingia bungeni baada ya Rais Yoon Suk Yeol kutangaza sheria ya kijeshi siku ya Jumanne.
Picha na Anania Kajuni Mwanza. “Tangu nimeanza kupanda miti mwaka 1959 nikiwa darasa la kwanza mpaka sasa nimepanda zaidi ya miti 1,700,000 kiasi kwamba sasa kila ninapokwenda huwa nakutana na watu ...
Ndivyo anavyoanza kusimulia Mchungaji, Ester Mhangwa wa Kanisa la TAG, lililopo Kijiji cha Chabulongo Kata ya Kasamwa Mjini Geita, anayeishi na VVU kwa miaka 39 huku akiendelea kuamini katika nguvu ya ...