Maelezo ya picha, Maandamano yanaendelea baada ya mazungumzo yaliyopangwa kumaliza machafuko nchini Msumbiji kutibuka. Msumbiji imekumbwa na maandamano mabaya ya wiki kadhaa kuhusu uchaguzi wa ...
Maelezo ya picha, Manahodha 19 kati ya 20 wa Ligi kuu England walivaa jezi ya upinde wa mvua inayowakilisha mwishoni mwa wiki 5 Disemba 2024 Uamuzi wa nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy wa kutovaa ...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametembelea na kufanya mazungumzo na Benki ya Exim ya Korea ambayo ilitoa fedha za utekelezaji wa miradi ya majitaka nchini Tanzania yenye ...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amebainisha kuwa tayari timu yake imeshakamilisha rasimu ya kwanza ya hatua za mchakato wa maandalizi ya Dira ya Taifa ya ...
Alitakiwa kufanya hivyo mwaka wa 2023, lakini kalenda ya kisiasa ya kitaifa na kimataifa ilikuwa imemzuia kufanya hivyo. Jambo lile lile Oktoba mwaka jana, ni vimbunga vilivyomfanya aendelee ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF leo limezindua ripoti mpya "Hali ya Watoto Duniani 2024: Mustakabali wa Utoto katika Ulimwengu Unaobadilika", ambayo inasisitiza ushawishi wa ...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akizungumza alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), jijini ...
Ripoti ya Amnesty inatoa mfano wa mashambulizi 15 ya anga yaliyotekelezwa kati ya Oktoba 7, 2023 na Aprili 20, 2024, ambayo yaliua raia 334 wakiwemo watoto 141, na ambayo shirika hilo "halikupata ...
Unguja. Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar imesisitiza jamii kuchukua tahadhari ya matumizi ya nishati ya umeme na gesi kuepusha athari zinazoweza kujitokeza. Kauli hiyo imetolewa na ofisa ...
Zaidi ya watu 100 bado hawajulikani waliko kufuatia mkasa wa maporomoko ya ardhi yaliyotokea mashariki mwa Uganda siku ya jumatano. Hadi sasa idadi za maiti ambazo zimeopolewa kutoka kwenye tope ...