Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akizungumza alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), jijini ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hayo leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya mshikamano na watu wa Palestina. Katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Naibu Katibu Mkuu Amina ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF leo limezindua ripoti mpya "Hali ya Watoto Duniani 2024: Mustakabali wa Utoto katika Ulimwengu Unaobadilika", ambayo inasisitiza ushawishi wa ...
Watanzania 16 wamepoteza maisha Kariakoo, Dar es Salaam. Familia nyingi zimebubujikwa machozi baada ya kuondokewa na ndugu zao waliowapenda na waliogusa maisha yao kwa namna mbalimbali. Matumaini ni ...
Katika video hii, kijana mwenye ndevu anajitambulisha kama Sacha Trupanov, Mwisraeli mwenye asili ya Urusi aliyetekwa nyara Oktoba 7, 2023. Akiongea kwa Kiebrania, Sacha Trupanov anazungumza ...
Ignatius amesema mateso ya raia katika Ukanda wa Gaza yamekuwa magumu zaidi baada ya Israel kupiga marufuku shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Kazi kwa Wakimbizi wa Kipalestina ...