Picha Hamida Shariff "Hapa nilipo nimevurugwa kwelikweli mwenzangu alikuwa msaada mkubwa kwenye kutunza familia hii, mimi nikienda kutafuta riziki, mwenzangu anabaki hapa nyumbani anaangalia watoto, ...
Pia, unafyatua ajira kwa mafyatu wa kaya nyingine wanaofanya kazi ambazo umeacha kufanya mwenyewe ili kuongeza thamani na kuzuia kudukuliwa kama zinavyofanya kaya za Asia kwenye mazao na madini yetu.
Siku zote nasema mimi ni mama wa vivuli tofauti. nina watoto watano; Mimi ni mama wa kambo wa watoto wawili, mlezi wa mpwa wangu yatima, na mama mzazi wa watoto wawili."anasema Jackie.
Alikutana na mama yake kwa mara ya kwanza alipokamilisha masomo ya shule ya msingi Kabla ya wakati huo Karimatul alidhani ya kuwa shangazi yake aliyemlea ndiye kama mama yake mzazi ...