Kampuni ya Mawasiliano na Teknolojia Vodacom Tanzania imezindua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 kwa kaulimbiu ya ‘Huduma Bora Kila Wakati’, ambapo kupitia program maalumu ya Huduma ...
8 Aprili 2017 Kutekwa kwa wasanii watatu akiwemo Ibrahim Musa aka Roma Mkatoliki kumezua hisia kali miongoni mwa umma. Watu wasiojulikana wanadaiwa kuvamia studio moja ya muziki ambapo wasanii hao ...
Mshtakiwa, Shembiu Shekilaghe (katika) akiwa chini ya ulinzi wa askari katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, baada ya kusomewa mashtaka 14 yakiwemo ya kujiwasilisha kuwa yeye ni Jakaya Kikwete na ...
Wizara ya ulinzi ya Marekani, imethibitisha kuwa inatuma mfumo wa kukabiliana na makombora wa anga ya juu unaoendeshwa na wanajeshi wa Marekani kwa Israel. Maafisa wanasema mfumo uitwao Terminal ...
Tuzo hiyo inayotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) inamuenzi mgunduzi wa mnorway Fridtjof Nansen ambaye katika uhai wake alipatia kipaumbele usaidizi kwa wakimbizi.
Siku mbili kabla ya tangazo hili, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani iliidhinisha uwezekano wa kuuzwa kwa vipuri vya jeshi la Taiwan vyenye thamani ya takriban dola milioni 228.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kuwafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali ya kihuduma katika Mikoa ya Dar es ...
Amesema “Wanawake na wasichana wa Afghanistan kwa kiasi kikubwa wamezuiliwa majumbani mwao, bila uhuru wa kutembea na karibu hawana fursa yoyote ya kupata elimu au kazi. Wanapigwa marufuku hata kuimba ...
Utafiti nchini Japani unaonesha wazazi wana matumaini tofauti kwa hali ya baadaye ya ajira za watoto wao kwa kutegemea jinsia zao. Utafiti huo ulifanywa mwezi Agosti na Benesse Corporation ...
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Tuwaambie kabla hawajaharibiwa” iliyoandaliwa na Jeshi la Polisi ikilenga kutoa elimu kwa wanafunzi wanaojiunga na shule pamoja na vyuo, Kamanda wa Polisi ...
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC wameendelea kuonyesha ubora wao msimu huu wa mashindano 2024/25 wakiwa chini ya kocha, Fadlu Davids kwa kuibuka na ushindi wa tatu mfululizo katika ligi bila ya kuruhusu ...