Hali bado ni ya wasiwasi nchini Haiti kutokana na ghasia za magenge. Afisa wa polisi wa Kenya aliyetumwa Haiti, aliyejeruhiwa ...
Mamlaka ya Kenya inahakikisha kwamba ujumbe wa kimataifa wa usalama nchini Haiti hauko hatarini. Siku ya Jumanne, Februari 4, Marekani ilitangaza kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani kwa ujumbe huu ...
Mji wa El-Obeid katika jimbo la Kordofan Kaskazini, ni kituo cha kimkakati kinachounganisha mji mkuu wa Khartoum na Darfur.
Hatua hii inajiri siku moja tu baada ya Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye kufanya mazungumza na mwenzake wa Congo Felix ...