Kundi hilo, ambalo sasa linajiita Sudan Founding Alliance, linadai linataka taifa hilo jipya liwe la kisekula, kidemokrasia, ...
Wajumbe wa kisiasa kutoka kundi la RSF linaloongozwa na Jenerali Mohamed Hamdan Dagalo linalopigana na wanajeshi wa Sudan, ...
Takriban watu 46 wamepoteza maisha baada ya ndege ya jeshi la Sudan kuanguaka katika eneo la makaazi nje kidogo ya mji wa Khartoum. Wizara ya afya Sudan imesema watoto ni miongoni mwa waliojeruhiwa ka ...
Watu hao ni mke wa zamani wa Kony, mabinti wawili, na mvulana mmoja, ambao walikuwa wameishi kwa miaka mingi katika Jamhuri ...
Uingereza imetangaza kusitisha msaada wake kwa Rwanda. Uamuzi huo umechukuliwa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na waasi wa M23 ambao wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaungwa mkono na Rwa ...