Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameonesha kupinga tangazo la kuundwa kwa serikali mbadala ya Sudan na waasi ...
Kundi hilo, ambalo sasa linajiita Sudan Founding Alliance, linadai linataka taifa hilo jipya liwe la kisekula, kidemokrasia, ...
Halmashauri hiyo pia ilikata maji safi na ya mifumo ya maji taka katika jengo la Stima Plaza, kituo cha biashara cha Kenya Power.
Serikali ya Sudan imesema siku ya Jumatatu itachukua "hatua za lazima" katika kukabiliana na kile ilichokiita usaidizi wa ...
KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye yuko jela kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. Ana historia ya miongo minne sasa ...
Hatua hii inajiri siku moja tu baada ya Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye kufanya mazungumza na mwenzake wa Congo Felix ...
Takriban watu 22 hawajulikani walipo baada ya mapigano ya mpaka kati ya wavuvi wa Ethiopia na Kenya, polisi wa Kenya na ...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC), Wafula Chebukati, amefariki dunia jana katika ...
vifo vya viongozi, viongozi wastaafu, utekaji, Tume Huru ya Uchaguzi, uchaguzi mkuu, kupiga kura, wagonjwa mahututi, ...
Aidha, Chebukati ameugua kwa takriban wiki moja na alikuwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) kabla ya kufariki.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果