Kama umekuwa ukifuatilia mzozo unaoendelea wa DRC, bila shaka umesikia herufi FDLR zikitajwa mara kwa mara hasa Rwanda ...
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Rwanda Olivier Nduhungirehe amesema nchi yake haiogopi kutengwa kimataifa. Nduhungirehe amesema ...
Baada ya tamko hilo, Rais wa Rwanda, Paul Kagame, alikanusha tuhuma hizo, akizitaja kuwa za uongo na kinyume na mazungumzo aliyokuwa nayo na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa. Kagame alidai kuwa ...
Watu hao ni mke wa zamani wa Kony, mabinti wawili, na mvulana mmoja, ambao walikuwa wameishi kwa miaka mingi katika Jamhuri ...
Corneille Nangaa, mratibu wa AFC/M23, vuguvugu la kisiasa na kijeshi linaloungwa mkono na Kigali, aliwasili Bukavu, mji mkuu ...