Aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni (CCM) na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Dk Faustine ...
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (Tasac) Mkoa wa Geita, limewatahadharisha wadau wote wa vyombo vya usafiri na wavuvi wanaotumia Ziwa Victoria, kufuatilia taarifa za hali ya hewa kabla ...
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (Tasac), Mkoa wa Geita limewatahadharisha wadau wote wa vyombo vya usafiri na wavuvi ...
Siku moja kupita baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024, Kamati Kuu ya Chama cha ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida limesema kuwa linamshikilia askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo ...
Moto ambao chanzo chake kinadaiwa kusababishwa na hitilafu ya umeme, umeteketeza vibanda vitano vya biashara vinavyomilikiwa ...
Klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya England huenda ikamtangaza aliyekuwa kocha msaidizi wa zamani wa Manchester ...
Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Arif Abbas amesema bonanza la Pemba Tourisport and Cultural linaendelea kuwa ...
Kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Al Hilal ya Sudan kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam Novemba 26, 2024, kiliwaacha mashabiki wa Yanga wakiwa na maswali mengi kuliko majibu.
Pep Guardiola anaumiza kichwa zaidi kupata majibu ya nini kinaisibu Manchester City huku wachambuzi wa masuala ya soka wakibainisha kwamba kwa sasa timu hiyo imekuwa dhaifu na nyepesi ...
Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus ...