Kiongozi wa waasi nchini Syria Abu Mohammed al-Jawlani ametupilia mbali jina la kivita lililohusishwa na maisha yake ya zamani ya kijihadi, na amekuwa akitumia jina lake halisi, Ahmed al-Sharaa ...