Mkutano huo uliofanyika mjini Harare, Zimbabwe, uliendeshwa na Mwenyekiti wa SADC ambaye pia ni Rais wa Zimbabwe, Dk. Emmerson Mnangagwa. Viongozi wa mataifa 13 wanachama wa SADC walihudhuria, ...