Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Zimbabwe, Dk Emmerson Mnangagwa ambaye ni Mwenyekiti wa SADC wakati wa mkutano wa dharura wa jumuiya hiyo ulioitishwa jijini Harare kwa lengo la kujadili kutetereka kwa ...
Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamezitaka pande zote zinazohusika katika mgogoro unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ...
Mkutano huo uliongozwa na Rais wa Zimbabwe na Mwenyekiti wa SADC, Dk. Emmerson Mnangagwa, ambaye katika hotuba yake ya ufunguzi, alisisitiza haja ya dharura ya kuimarishwa kwa juhudi za kujenga amani ...
Kwa mujibu wa Sekretarieti ya SADC, kikao hiki cha dharura cha wakuu wa nchi na serikali kitaongozwa na Mwenyekiti wa SADC, Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, na kitanguliwa na vikao vya Kamati ya ...
SADC na EAC wameonesha nia thabiti ya kutaka kujenga heshima ya ukanda kwa kujitoa kuhakikisha amani inapatikana DRC.
Mwenyekiti wa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Emmerson Mnangagwa, amesema mkutano huu hauoni ni ushahidi wa dhamira ya jumuiya za EAC/SADC kwamba juhudi zinaweza kuwezesha kuchukuliwa hatua za ...
Akizungumza wakati akifungua kikao hicho cha dharura, Mwenyekiti wa SADC na Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa alisema jumuiya hiyo haifurahishwi na hali ya kukosekana kwa amani inayoendeela DRC.
Hii inafuatia makubaliano kati ya mwenyekiti wa Rais wa SADC Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe na Mwenyekiti wa EAC William Ruto wa Kenya. "Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kuwa mwenyeji wa mkutano ...
Alisema Rais Emmerson Mnangagwa , ambaye ndiye mwenyekiti mpya wa SADC katika taarifa iliyochapishwa baada ya makubaliano kwenye kikao. Rwanda kwa upande wake imedai kwamba tamko kwamba vikosi vya ...
Hali inazidi kuwa tete mashariki mwa Kongo, huku waasi wa kujndi la M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wakiendelea kuyadhibiti maeneo kadhaa ya eneo hilo ukiwemo mji wa Goma, hali iliyoisababisha ...