Mkutano huo uliofanyika mjini Harare, Zimbabwe, uliendeshwa na Mwenyekiti wa SADC ambaye pia ni Rais wa Zimbabwe, Dk. Emmerson Mnangagwa. Viongozi wa mataifa 13 wanachama wa SADC walihudhuria, ...
Mwenyekiti wa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Emmerson Mnangagwa, amesema mkutano huu hauoni ni ushahidi wa dhamira ya jumuiya za EAC/SADC kwamba juhudi zinaweza kuwezesha kuchukuliwa hatua za ...
Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamezitaka pande zote zinazohusika katika mgogoro unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ...
Akizungumza wakati akifungua kikao hicho cha dharura, Mwenyekiti wa SADC na Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa alisema jumuiya hiyo haifurahishwi na hali ya kukosekana kwa amani inayoendeela DRC.
Kwa mujibu wa Sekretarieti ya SADC, kikao hiki cha dharura cha wakuu wa nchi na serikali kitaongozwa na Mwenyekiti wa SADC, Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, na kitanguliwa na vikao vya Kamati ya ...
Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Zimbabwe, Dk Emmerson Mnangagwa ambaye ni Mwenyekiti wa SADC wakati wa mkutano wa dharura wa jumuiya hiyo ulioitishwa jijini Harare kwa lengo la kujadili kutetereka kwa ...
Hali inazidi kuwa tete mashariki mwa Kongo, huku waasi wa kujndi la M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wakiendelea kuyadhibiti maeneo kadhaa ya eneo hilo ukiwemo mji wa Goma, hali iliyoisababisha ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果