NIKAWA najiuliza kama kweli Mustafa amedhamiria kunioa mimi, hiyo posa yangu ataipeleka kwa nani? Kama ni kwa shangazi yangu ... Nikapata jibu kwamba nimwambie Mustafa kuwa mimi sikuwa na wazazi, baba ...
“Mama akamjibu Shaban, wewe unaniuliza kama nani? Wakati mama anauliza maswali hayo niliona anafungua koti akatoa leso yenye kisu, kwenye boda nilikaa katikati akataka kunichoma kisu tumboni nikakinga ...
Hilda anasema yeye mwenyewe kama Mama wa mtoto aliamua kufanya utafiti kuuelewa vizuri na kwa kina ugonjwa huu na namna ya kumsaidia mtoto wake katika ukuaji. Anasema awali alizoea kuona tu kwenye ...
30,000 na kwa miezi mitatu ni Sh. 90,000, tofauti ikiwa ni Sh.10,000 kulinganisha na mtoto anayetumia usafiri wa basi la shule. Mzazi mwingine na mkazi wa Sengerema, Jenifer Christopher, maarufu kama ...
Wakizungumza leo Jumatano, Desemba 11, 2024, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ijulikanayo kama Mama Samia Legal Aid mjini Musoma, wakazi hao wamezitaka taasisi na wadau mbalimbali ...