Jose Mourinho amefutilia mbali uwezekano wa nyota wa Ureno wa Al-Nassr Cristiano Ronaldo, 39, kujiunga naye Fenerbahce, akisema timu yake tayari ina washambuliaji watatu wazuri. (Goal) William ...
Chama tawala cha Namibia, Swapo, kimeendelea kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 30, hata hivyo ushawishi wake umepungua mno-ikiwa ni nchi ya hivi punde zaidi ya Afrika ambapo viongozi walio ...