To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video ...
Maelezo ya picha, Nasrallah akitoa hotuba yake kwa njia ya televisheni mwaka 2016 wakati wa mazishi ya mtangulizi wake Abbas al-Musawi na viongozi wengine wawili wa Hezbollah baada ya kuuawa kwao.
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC wameendelea kuonyesha ubora wao msimu huu wa mashindano 2024/25 wakiwa chini ya kocha, Fadlu Davids kwa kuibuka na ushindi wa tatu mfululizo katika ligi bila ya kuruhusu ...
Asteroidi (mwamba mdogo unaozungunga kwenye uzio wa jua) ndogo inatarajiwa kuingia kwenye uwanja wa sumaku ya Dunia, kwa muda kuwa "mwezi wa mdogo." Mgeni huyu wa anga za juu atasalia katika ...
WINGA wa Simba, Joshua Mutale hana noma na mtu, kila mchezaji ndani ya kikosi hicho ni mshikaji wake, hapendi kununa, badala yake kila anapokuwepo lazima aache kicheko kwa wengine.
Mshtakiwa, Shembiu Shekilaghe (katika) akiwa chini ya ulinzi wa askari katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, baada ya kusomewa mashtaka 14 yakiwemo ya kujiwasilisha kuwa yeye ni Jakaya Kikwete na ...
Amesema “Wanawake na wasichana wa Afghanistan kwa kiasi kikubwa wamezuiliwa majumbani mwao, bila uhuru wa kutembea na karibu hawana fursa yoyote ya kupata elimu au kazi. Wanapigwa marufuku hata kuimba ...
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Tuwaambie kabla hawajaharibiwa” iliyoandaliwa na Jeshi la Polisi ikilenga kutoa elimu kwa wanafunzi wanaojiunga na shule pamoja na vyuo, Kamanda wa Polisi ...
Siku mbili kabla ya tangazo hili, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani iliidhinisha uwezekano wa kuuzwa kwa vipuri vya jeshi la Taiwan vyenye thamani ya takriban dola milioni 228.