Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye amefunguliwa mashtaka ya uhaini, ikiwa ni sehemu ya msururu wa matatizo ya ...
Tuliyokuandalia Jumamosi hii ni pamoja na taarifa kuelekea mashindano ya gofu duniani ya Magical Kenya Open 2025, bodi ya ...
Alilazwa hospitalini kwa muda mfupi mwishoni mwa wiki, huku waziri mmoja katika Serikali ya Uganda akisema hali yake ya afya inatisha.
Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, aliyegoma kula wiki iliyopita, amekimbizwa hospitali baada ya afya yake kuzorota, amesema mbunge na mtangazaji wa televisheni nchini humo.
Kocha wa timu ya soka ya wanawake ya Kenya chini ya miaka 17, Mildred Cheche ana kazi ya kujenga upya kikosi chake kabla ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia la Wanawake dhidi ya Uganda mwezi Machi.
Haya yanajiri siku chache baada ya waasi wa M23 kudhibiti Bukavu na Goma, miji ambayo ina wakazi wengi DRC. Kwa upande ...
Idadi ya korongo ambao ni fahari kwa taifa la Uganda inapungua kutokana na wakulima kuchukua maeneo oevu kwa upanzi wa ...
CHAMA cha mchezo wa mbio za magari duniani, FIA kimetoa kalenda mpya ya mbio za magari ubingwa wa Afrika na Tanzania itaandaa ...
KIONGOZI wa Upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ,68, amerudishwa gerezani baada ya kuwahishwa hospitali kutokana na afya ...
日前,由中国国际贸易促进委员会广州委员会、广州国际交流合作中心(简称“广州国合中心”)联合举办的2025广州企业“走出去”开拓东非市场交流活动在广州国合中心成功举办,来自东非肯尼亚、乌干达、坦桑尼亚三国粤商会,广州企业、机构,市贸促会及相关行业协会的 ...
UTABIRI wa hali ya hewa katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), umeonesha kuendelea kupanda kwa kiwango cha joto ...
Matokeo mapya ya kura ya moani ya Newspoll yaliyo chapishwa katika gazeti la The Australian, imeonesha kuwa upinzani wa mseto ...