Takriban raia wanne waliuawa, kulingana na serikali ya eneo hilo. Waziri Mkuu, Masrour Barzani aliliita shambulio hilo "uhalifu dhidi ya watu wa Kikurdi." Shirika la habari la Fars, ambalo liko ...
Matokeo rasmi ya kura ya maoni ya siku ya jumatatu haitatangazwa,lakini kiongozi wa Kurdi Massoud Barzani, anasema wapiga kura wamechagua kuwa huru. Serikali ya Iraq kwa nguvu zote inapinga ...