Nchini Kenya, tangu katikati ya mwezi Novemba, Makanisa kadhaa yameeleza kutokuwa na imani na rais wa nchi hiyo na sera zake.
Miguna pia amedai kuwa serikali ya Moi ilifumbia macho uporaji wa ardhi ambao mpaka sasa unaitafuna nchi hiyo. Moja ya ...
Kampuni ya ISP Habari, yenye uzoefu wa miaka 25, ina mtandao ulioenea katika mikoa saba na kuzifikia kaya na biashara maeneo ...
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu tunakuletea sehemu ya tatu ya ripoti kuhusu tukio linalojulikana kama Osaka Africa ...
Miongoni mwa yale utakayoyasikia kwenye habari ni pamoja na Rais wa DRC, Felix Tschisekedi, kuwataka raia wa nchi yake ...
Imekuwa kawaida vya zamani kurudi sasa na kupendwa zaidi. Hiyo yote ni kutokana na maendeleo ya teknolojia. Hilo ...
Rais wa Kenya, William Ruto ameshikilia msimamo wake kuwa hatoacha kutoa misaada ya kifedha kwa makanisa licha ya ukosoaji ...
Akiwa amekulia katika umaskini, Mkenya Emmanuel Wanyonyi alichunga ng'ombe akiwa mvulana na alivumilia kifo cha ghafla cha ...
Afrika imetajwa kuwa na nafasi ya kufanya vema katika uchumi wa kidijitali iwapo itaunganisha nguvu katika uzalishaji wa simu ...