Watu kadhaa wanahofiwa kujeruhiwa baada ya milipuko miwili kutokea wakati wa mkutano wa viongozi wa kundi la waasi la M23 ...
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Rwanda Olivier Nduhungirehe amesema nchi yake haiogopi kutengwa kimataifa. Nduhungirehe amesema ...
Corneille Nangaa, mratibu wa AFC/M23, vuguvugu la kisiasa na kijeshi linaloungwa mkono na Kigali, aliwasili Bukavu, mji mkuu ...