Katika eneo la Horombo, hewa ni hafifu zaidi, kukiwa na uoto mdogo wa asili. Horombo iko kwenye urefu wa mita 3,720 juu ya ...
Watu wawili wamefariki dunia, huku wengine 140 wakiugua ugonjwa wa kipindupindu katika Wilaya za Musoma na Rorya, mkoani Mara ...
Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, aliyegoma kula wiki iliyopita, amekimbizwa hospitali baada ya afya yake ...
Ripoti ya kitabibu kutoka Hospitali ya Gereza la Isanga iliyopo mkoani Dodoma imeonesha mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya ...
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imesema kila mwaka inapokea zaidi ya notisi 500 za wananchi kuishtaki Serikali kutokana ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameutaka uongozi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ...
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imeitupilia mbali pingamizi la Serikali dhidi ya shahidi wa tano katika shauri la uchaguzi ...
Serikali imependekeza kufanya mabadiliko ya vifungu 20 vya Sheria ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Sura ya 295 ili ...
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Kirua, Vunjo Kusini wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wameondokana na adha ya kukosekana ...
Kahama. Ujenzi wa daraja linalounganisha mikoa ya Shinyanga na Tabora katika Mto Kasenga linatajwa kuwa suluhisho la usafiri ...
Yanga imezidi kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida ...
Serikali imezitaka kamati za ulinzi na usalama kuwachukulia hatua kali wale wanaotoa mikopo bila kuwa na leseni, pamoja na ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果