Kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Al Hilal ya Sudan kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam Novemba 26, 2024, kiliwaacha mashabiki wa Yanga wakiwa na maswali mengi kuliko majibu.
Pep Guardiola anaumiza kichwa zaidi kupata majibu ya nini kinaisibu Manchester City huku wachambuzi wa masuala ya soka wakibainisha kwamba kwa sasa timu hiyo imekuwa dhaifu na nyepesi ...
Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus ...
Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus ...
Katika ulimwengu wa uchumi wenye mabadiliko yasiyotabirika, Tanzania imefanikiwa kwa jambo la kipekee, imeweza kudhibiti ...
Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus Timbisimilwa kuwa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi, Kamanda wa Polisi Kanda ...
Leo itakuwa ni mwendelezo wa michuano ya Europa League ambapo kocha wa Manchester United, Ruben Amorim atakuwa na mtihani mwingine mbele ya FK Bodo/Glimt katika mchezo utakaopigwa kwenye ...
Kukopa ni uamuzi muhimu sana katika maisha ya mtu, hasa anapotaka kukuza biashara au mradi wake. Hata hivyo, kabla ya ...
Mzee Hamisi alikuwa mwajiriwa katika wizara moja nyeti ya Serikali. Akiwa mtumishi mwandamizi na mkuu wa kitengo, mzee Hamisi ...
Kutokuwepo kwa uwiano wa kodi kati ya Tanzania na nchi jirani kunatajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazosababisha mazingira yasiyo sawa, hivyo kuchochea usafirishaji wa dhahabu kwa ...
Aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni (CCM) na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Dk Faustine ...
Kuna nyakati ni ngumu kutambua ubaya wa jambo linalofanyika kwa wakati huo kutokana na madhara yake kuchukua muda mrefu.