Takribani watu 30 wanahofiwa kufa baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika kijiji kimoja mashariki mwa Uganda. Hayo ...
Rais wa Uganda amewasamehe viongozi 19 wa upinzani siku ya Ijumaa, kufuatia kutiwa hatiani na mahakama ya kijeshi kwa "uhaini ...
Mwanasiasa wa upinzani wa muda mrefu nchini Uganda Kizza Besigye ameripotiwa kutekwa wakati akiwa nchini Kenya ambapo kwa ...
Wananchi wawili nchini Uganda wamewekwa rumande kwa tuhuma za kumtukana Rais Yoweri Museveni, mkewe Janet Museveni na mtoto ...
Kundi hilo lilianzisha uasi dhidi ya Rais Yoweri Museveni ambao ulisambaa hadi Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan. Liliwauwa zaidi ya watu 100,000 na kuwateka ...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametagaza masharti zaidi ya kukabiliana na kuenea kwa virusi vya corona wiki mbili baada ya kupiga marufuku usafiri wa Umma. Katika hotuba yake kwa taifa ...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameanza matembezi ya siku sita jangwani, kama sehemu ya kumbukumbu ya jinsi vikosi vyake vilivyopambamba mwaka 1986 kunyakua madaraka mikononi mwa Idi Amin na Milton ...